Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Tofauti ya Quick counter na possession game ni kwenye transition ndiyomaana inashauriwa kama unataka kupossess vizuri tumia QC.Mkuu me natumia Quick counter ndo maana nikikutana na mtu anatumia Possession game nasema kimoyo moyo ameisha huyuππ
Hii line imenifurahisha π.Kwa hiyo kwa sababu sipo vzr chance ya kwanza ya beki akipata mpira ni clear tukagombane vichwa mbele huko...
Anacheza quick counter sema muoga wa ku pressπ
Possession game wanachelewa kwenda mbeleTofauti ya Quick counter na possession game ni kwenye transition ndiyomaana inashauriwa kama unataka kupossess vizuri tumia QC.
Unaokoa hatare kwanzaπππHii line imenifurahisha π.
πππWatu mpo chap nipress natoka kwenye defensive formation mashimo yanakuwa mengi bora nikabe watu kwanza then ndo nipress...Anacheza quick counter sema muoga wa ku pressπ
Long ball counter maana yake una maintain defensive shape na ukipata mpira unasumbulia kwa haraka. Kama anavyocheza inter
Quick counter unapress kwa nguvu zote ukipoteza mpira kama man City.
Hauna shida unakaba vizuri sana.πππWatu mpo chap nipress natoka kwenye defensive formation mashimo yanakuwa mengi bora nikabe watu kwanza then ndo nipress...
Ukabaji wangu una shida gani mkuu honest opinion??π€²
Namaanisha nibadilishe ama niendelee
Sawaa mkuu kuna mtu anatumia match up na anakaba haraka??Hauna shida unakaba vizuri sana.
Watu wanachanganya. Unatumia match up kuziwia pass na mashuti opponent akizubaa una dash ku tackle mpira naona wengi wanafanya hivyo.Sawaa mkuu kuna mtu anatumia match up na anakaba haraka??
Naona labda Dash ndo utakaba haraka matchup kisang
Au kuna combination inatumika me sijui katika ukabaji
Na hichi ndo kinafanya nione anatumia LBC ni kunguru sana anachofanya ni kupiga back pass kwa kipa halafu nduki mpira unaukuta kwako π.Anacheza quick counter sema muoga wa ku pressπ
Long ball counter maana yake una maintain defensive shape na ukipata mpira unasumbulia kwa haraka. Kama anavyocheza inter
Quick counter unapress kwa nguvu zote ukipoteza mpira kama man City.
Siwezi kutumia dash kwenye kukaba aisee.Sawaa mkuu kuna mtu anatumia match up na anakaba haraka??
Naona labda Dash ndo utakaba haraka matchup kisang
Au kuna combination inatumika me sijui katika ukabaji
Akipiga back kwa kipa pass usifate maana pass moja kwa guardiola , kisha Messi halafu through pass kwa Toress πNa hichi ndo kinafanya nione anatumia LBC ni kunguru sana anachofanya ni kupiga back pass kwa kipa halafu nduki mpira unaukuta kwako π.
Hapo kwisha unashangaa tu wachezaji wanashangili π.Akipiga back kwa kipa pass usifate maana pass moja kwa guardiola , kisha Messi halafu through pass kwa Toress π
Huwa najaribu mara moja moja lakin bado sinaiperfect hii kwahiyo niliiachaWatu wanachanganya. Unatumia match up kuziwia pass na mashuti opponent akizubaa una dash ku tackle mpira naona wengi wanafanya hivyo.
πππOwaaa kikubwa nimeshinda mpira mzuri nawaachia nyieπ€£π€£π€£Na hichi ndo kinafanya nione anatumia LBC ni kunguru sana anachofanya ni kupiga back pass kwa kipa halafu nduki mpira unaukuta kwako π.
Mkuuππππππ€£Akipiga back kwa kipa pass usifate maana pass moja kwa guardiola , kisha Messi halafu through pass kwa Toress π