eFootball Special Thread

Game ya pili ulivyokuwa unaongoza tatu uliwasha mojaπŸ˜€πŸ˜€ nikasema leo kazi ninayo

Me naonaga nikiwasha ndo kama najiweka kwenye risk ya kushambuliwa sana maana ukabaji wangu tia maji
Sikuwasha mkuu ila nahisi kuna muda mpinzani akishambulia sana inajiwasha yenyewe.
 
Sikuwasha mkuu ila nahisi kuna muda mpinzani akishambulia sana inajiwasha yenyewe.
Aah hata sub uliweka Auto hiyo ipo na ya defensive ukiwa unaongoza second half inajiwasha na ukiwa upo nyuma kipind cha pili inawasha attack..

Uliweka kwenye settings Auto Attack/defense
 
Sema nini Mkuu una mchezo wako mzuri sana... Upo calculated kila kituπŸ˜€πŸ˜€me nikiingia kwenye game zako huwa naingia na mentality ya kukaba game nzimaπŸ˜€πŸ˜€maana nikicheza kdg nafwaaa week
Baada ya mechi ya kwanza nikasema ngoja niende nae ya pili nikamfunge goli 5 ila isivyobahati kipa wako amekuwa man of the match kwa mara nyingine πŸ˜‚.
 
Aah hata sub uliweka Auto hiyo ipo na ya defensive ukiwa unaongoza second half inajiwasha na ukiwa upo nyuma kipind cha pili inawasha attack..

Uliweka kwenye settings Auto Attack/defense
Anhaa basi sijafatilia hiyo, kwenye sub huwa sipendi kusimamisha mechi sababu ya simu haitabiriki ndiyomaana nimeweka auto sub.
 
Game ya mwisho simu ikaanza mapepe game ikaanza kuganda kiasi nikasema hapa sasa nafungwa na chuma ya pili ikaingia.
Ujue hakuna game uliyoanza kuongoza nikashinda hii ndo ya kwanza...

Nadhan ni mtandao umenisaidia πŸ˜€
 
Ujue hakuna game uliyoanza kuongoza nikashinda hii ndo ya kwanza...

Nadhan ni mtandao umenisaidia πŸ˜€
Ila unaubonda mkuu karibia mechi zote umenifunga kwa beki zangu kutokuwa kwenye nafasi kwa wakati sahihi na hapa ndo nilipokuwa najiuliza sana maana mpira ulikuwa unacheza LBC na siyo QC.
 
Ila unaubonda mkuu karibia mechi zote umenifunga kwa beki zangu kutokuwa kwenye nafasi kwa wakati sahihi na hapa ndo nilipokuwa najiuliza sana maana mpira ulikuwa unacheza LBC na siyo QC.
Magoli yangu ya kubahatisha tuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mimi sio mzuri kwenye kupiga short passes maana nakosea sana kwenye direction na vile vile sipo vizuri kwenye turning (kitu ambacho nakitaka kutoka kwako) sasa nikikaba mpira kama niktoa pass ni boko unanifunga game ya mwisho nilitoa boko mwishoni wakati nataka kupiga pasi ikamfikia Kane wako ukaenda kukosa na kipa...

Kwa hiyo kwa sababu sipo vzr chance ya kwanza ya beki akipata mpira ni clear tukagombane vichwa mbele huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…