Siamini kama nimeacha DLS kitu ambacho kilikuwa kama Damu zaidi ya addiction .Zinagoma huku Jf au
Umestafu na wewe kazi ipoπ
βPositioning kulinganga na Koch na mfumo unootumia ni muhimu
Kandambili hakuwa meanafunzi dadeqπππMshanigeuza mwalimu humu ndaniπππsema ni muda sijapata mwanafunzi nilikuwa likizo acha nikomae na mkuu aje awe ananifunga kama Kandambili
Masta wa michezoKandambili hakuwa meanafunzi dadeqπππ
Nishacheza Dream League mwaka mzima ππππUshawai cheza magemu ya mpira lolote lile ili nijue ugumu nilionao kwenye kuelekezana
Shukrani mkuu na kwenye kuanza nchi gani nzuri kuna mtu kaniambia Japan au Brazil nisiweke Bongo hii ipoje?
Region nzuri kwa sasa ni Turkey kwa Sababu kuna wachezaji wa bure kama watatu hivi...Nishacheza Dream League mwaka mzima π
Haya sasa nimerudi nikiwa mwana-efootball naomba maelekezo sasaRegion nzuri kwa sasa ni Turkey kwa Sababu kuna wachezaji wa bure kama watatu hivi...
Ila weka bongo kuwa mzalendoππ
Ukitaka maelekezo ya kutosha mtag Selikavu au kama unatumia Telegram tumia link naiweka hapo chini kujiunga.Haya sasa nimerudi nikiwa mwana-efootball naomba maelekezo sasa
Umeshawai kulichezaHaya sasa nimerudi nikiwa mwana-efootball naomba maelekezo sasa
CcUkitaka maelekezo ya kutosha mtag Selikavu au kama unatumia Telegram tumia link naiweka hapo chini kujiunga.
Ikiwa utajiunga telegram hakikisha unaenda settings kuficha taarifa zako kabla hujajiunga kwenye group.
Kama huna telegram pakua kwanza VPN ya 1.1.1.1 ambayo itakusaidia kupata verification code kwa urahisi wakati unajiunga.
JF Champions League
WALL OF CHAMPIONS The Conqueror πππ Gilberto π Selikavu π π Mr Devil π Neganπ Coop π Kandambili &Elynxvi π Fair play Award Corrie De Killerπt.me