AIsee Joanah una sikia majibu hayaBraza huku Malkia anakuja kufanya nini kumchosha tuuπππ
πππKwel wamekuleta adi kwenye magemu malkia πππme sikutaka hiloπππNimelia kinyama
Nyinyi ni mwili mmojaHalafu nikisahau mimi wana andamana kudadadeki, huyu Selikavu hana adabu.
Razorblade hii jinga nyenzio yumba sana π.
Nilikuwa namtania Razorblade lini atamfunga NeganπππLakini nimefeel good amerudi kwenye jina lake
Lile lingine sijui alilitoa wapi huyu kijana
Ajitaid amfungeπ€£Ehh, kijana ana babuliwa kila day.
Joanah kuna ukweli hapa ππNyinyi ni mwili mmoja
Alisikika mlevi mmojaπ€£π
Sibishi kabisa.kwel yanπππ
Hii hadi Mimi imenihuzunishwa sana ila nimeamua kulilia chooni.πππKwel wamekuleta adi kwenye magemu malkia πππme sikutaka hiloπππ
πππRazorblade upumzike sasa nimelud kwenye Selikavu yangu
Cc adriz The Consigliere Intelligent businessman
Shabiki wa Man U huyo usipate nae tabu πHalafu nikisahau mimi wana andamana kudadadeki, huyu Selikavu hana adabu.
Razorblade hii jinga nyenzio yumba sana π.
Anapenda vita baridi huyo πLakini nimefeel good amerudi kwenye jina lake
Lile lingine sijui alilitoa wapi huyu kijana
Hata mimi nimeshangaa sana, tumuache tu πππBraza huku Malkia anakuja kufanya nini kumchosha tuuπππ
Atajilipia mwenyewe na ntaomba wamchanganyie na bichwisan πHonestly,Selikavu yupo sawa
I mean why uniite uzi wenu wa magemu π
Selikavu agiza soju Razorblade atakuja kulipa akishafungwa na NEGAN
Dah ππHii hadi Mimi imenihuzunishwa sana ila nimeamua kulilia chooni.
Nimepita kimya kimya na kulilia chooni nimeogopa kupewa bakuli la Bichwisan.Dah ππ
πππHii soju nitalipia mwenyewe maana jamaa ameshashindwa kumfunga Neganπ€£π€£Honestly,Selikavu yupo sawa
I mean why uniite uzi wenu wa magemu π
Selikavu agiza soju Razorblade atakuja kulipa akishafungwa na NEGAN