eFootball Special Thread

Umemkaba sana Neymar kweli mimi ni wa kupiga cross 5 mechi nzima😀

Sema kummaba Neymar nicheze mchezo wangu zamani wa ku dribble magoli ya Neymar na Roberto Carlo ni pure individual brilliance 😀
 
Umemkaba sana Neymar kweli mimi ni wa kupiga cross 5 mechi nzima😀

Sema kummaba Neymar nicheze mchezo wangu zamani wa ku dribble magoli ya Neymar na Roberto Carlo ni pure individual brilliance 😀
Goli la Robert Carlos nimekosea kukaba pale nimepeleka mchezaji si akasimama😃😃makosa😃😃😃

Backline yako game ya kwanza ilijua kunishika😃😃yan sikutembea kabisa
 
Saves 6 kwa 3 😂🙌
 
Hatari na nusu 😂😂 afu wadau mki piga penalty mtuambie kipa kafata wapi , haiwezekan penalty nikose kila siku na nyie mpo
Hapana haruki upande mmoja... Kwa kila mtu

Sema inabid uwe unakariri kama jana aliruka upande fulani kesho kuna possiblity akaludia huo upande tena

Baada ya kuruka sehemu mara mbili itakayofata piga alikokua anaruka wakati unaangalia either karuka au kabaki kati kati...zikiisha mbili tena piga alipokuwa karuka😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…