eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Edo kissy // Corrie de killer wadau mna kua wa kwanza kumkaba Blitz😂😂leo naishia njee ya box
Screenshot_20250902_092638_Instagram.jpg

 
Utacheza na kila mtu😃😃usiwe na wasiwasi kila mtu lazima asumbuke na backline yako😃😃
Mkuu unanichoma kabisa yani. Aliyesumbuka na backline yangu ni nani na ndo kwanza ligi imeanza na unajua sijui kukaba? 😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom