Unataka ucheze na mabeki wawili๐๐Wakuu mnishauri mapema kbla sijaanza kutumia mfumo wa 2-4-4
NakujaTwende nikachezee main account tuu
Nawaset na mamido wawili wawe wanapanda na kushuka alafu mbele ni wale majambazi wasiokuwa na hurumaUnataka ucheze na mabeki wawili๐๐
Umecheka kama mazuri.... Hataamini macho yake๐๐๐Unataka ucheze na mabeki wawili๐๐
Unataka kuweka madestroyer wote๐๐Nawaset na mamido wawili wawe wanapanda na kushuka alafu mbele ni wale majambazi wasiokuwa na huruma
Usijaribu hii mkuu....kamiddle wenyewe kina nani?? Itakucost sana mfano opponent anapiga v pass pembeni na unamabeki wawili wakati utaumiaNawaset na mamido wawili wawe wanapanda na kushuka alafu mbele ni wale majambazi wasiokuwa na huruma
Good game kotekote....Kuna muda umepiga pass sana mkuu hadi nikadhangaa kwann huwa unabutua sanaGood game kakaView attachment 3459217
Alafu hata sio mchezo wangu๐๐๐Hii intensity yako sio poa mkuu Selikavu ....Yani man u yangu ingekuwa inacheza hivi unavyocheza tungefika mbali sana
Sio mchezo wangu huo sijui kwann wewe na Warld mnanifosi nipige pas๐๐Good game kotekote....Kuna muda umepiga pass sana mkuu hadi nikadhangaa kwann huwa unabutua sana
Tulud moja ya dakika 15 ukaniue๐๐๐๐๐คฃ๐คฃkwa leo naishia hapa
View attachment 3459221
Nikipata muda tutapanda kaka hakuna nenochaji ipo chini kesho nitaomba game tena mkuu...nijipime tena.
Unacheza vizuri sana mkuu...Mimi bado sijajua kupiga chenga na kucross ndo maana nacheza pass tu hata pembeniAlafu hata sio mchezo wangu๐๐๐
We ngoja siku nipate simu ya kustream uone ninavyocheza na Negan, Gilberto au Mill Broh ๐๐๐
Ndo utaona mchezo wangu wenyewe sasa
Asante mkuu Kuna masomo mawili jiandae kunielekeza crossing na chenga Kuna muda mnazinguka had nashangaa mnawezaje ๐คฃ๐คฃ๐คฃNikipata muda tutapanda kaka hakuna neno
Nipe mfumo wa mashambulizi dk 90 kama liverkuku sasa mkuuUsijaribu hii mkuu....kamiddle wenyewe kina nani?? Itakucost sana mfano opponent anapiga v pass pembeni na unamabeki wawili wakati utaumia
Amna siku nitakuchezea mchezo wangu wenyewe ngoja nitajifosi kesho uone๐๐Unacheza vizuri sana mkuu...Mimi bado sijajua kupiga chenga na kucross ndo maana nacheza pass tu hata pembeni