eFootball Special Thread

Mkuu kitu ambacho sijali sana kwa sasa ni kufugwa sababu najua nataka kucheza mpira wa aina gani, japo kufungwa inakera πŸ˜‚

Ila wewe jana nilitaka nikutoe room, mie nilikutumia invite ili tupeane win kwaajili ya kuchukua rewards na kubadilishana treasure ajabu iliyoje naona unanikanda tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu mbona nililegeza game ya pili Ile 🀣🀣🀣 hahaha sema haijalishi umeshinda au kufungwa nafikiri
 
😹 Angekua destroyer sawa ila Buld up ni mchumba tu
Maneno ya mkosaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti na mimi leo nawacheka ambao wanaspin na kupata hewa, watu wanalalamika spin 79+ anaambulia upepo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…