eFootball Special Thread

Kwa nilichoelewa kwa uchache ni hivi:-

Mnaingia kucheza PvP ukipata ushindi unaletewa muonekano wa treasure za opponent wako kisha unachukua unayotaka, ndiyomaana watu wanakubaliana halafu wanafanya mabalishano.

Ila hata mimi sijui nilichoelezea ni nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣kila mtu aeleze alivyo elewa kama class dadekii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…