eFootball Special Thread

Umeshafanya mawasiliano na hospital/zahanati yoyote ya karibu wakaandae ambulance na ICU? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hivi kumbe naekutana nae ni Warld? Nahisi anatafuta hivyo vitu nilivyotaja hapo juu ๐Ÿ˜‚
Ulikuwa hujaona anakuletea michezo ya kandambili ujae๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Niliishia dvn 2 aiseh nashindwa vuka mkuu....mpira kazi nao naushindwa
Kaza hakuna ukikata tamaa hutoboi me leo nimecheza na point 1733 to 1784 tangu asubuhi saa nne๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Nikifika tuu 1784 napigwa au nadraw ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒtangu saa nne napambana tuu mwishon kabisa nimesema sasa hii ya mwisho nitaendele mwezi ujao ndo nikashinda๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ