Mtajua wenyewe mi nakaba kama kawaida tu ๐Umeona ukabaji wake๐๐kuna namna hashiki match up anakaba nafasi anakuja kushika pale ukipiga pasi
Konami wenyewe kwenye zile tips wamesema usimfate ball holder nenda pasi inakoenda๐๐๐
Alikula umeme dakika ya 13 tuBerlado beki wetu kisiki๐๐
Mbappe nilikaba jana๐๐umeanza kunifunga magoli ya nje๐ฌroho mbaya tuu sasa me nakabaje nje bila match upView attachment 3446919
Beki wake huyu jana bada ya kujaribu kumzuia Mbappe.
Aseee๐คฃ๐คฃAlikula umeme dakika ya 13 tu
Twende unifunge back to back sasa kabla ya Alhamic๐คฃ๐คฃ๐คฃNishakufunga usiku ๐
Aah wap ๐๐na yule saliba sijui amechanjia๐๐Mtajua wenyewe mi nakaba kama kawaida tu ๐
Afu Situmii wingers asipo deriver kwenye AMF ata sugua benchi kama venicius jr๐น๐น
Umtoe kipenzi chako Raphinha kwelAfu Situmii wingers asipo deriver kwenye AMF ata sugua benchi kama venicius jr๐น๐น
๐น๐นkipenzi changu ni golden boy desire doue kala shavu pale kwenye my favourite playerUmtoe kipenzi chako Raphinha kwel
Ndo hivyo yani popote napiga buti, kuna muda napiga tackling namkosa mchezaji ๐๐๐Sasa ukiweza kupiga vizuri๐คฃ๐คฃ๐คฃndo upate Red card au me ndo sijaelewa๐๐๐
Acha kufurahisha waja, unavyocheza nao hao huchezi na mimi hivyo ๐๐๐Komaen tuu๐๐me siku hizi sio derby yako amekuwa mister Devil derby yangu siku hizi Warld na Kandambili ndo level zangu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Alikuwa anatupa mikono nikawa nacheka ๐๐๐View attachment 3446919
Beki wake huyu jana bada ya kujaribu kumzuia Mbappe.
Sasa pasi inakoenda huko si kuanza kubeti, wanataka realistic halafu wameacha smart assist ๐๐๐Umeona ukabaji wake๐๐kuna namna hashiki match up anakaba nafasi anakuja kushika pale ukipiga pasi
Konami wenyewe kwenye zile tips wamesema usimfate ball holder nenda pasi inakoenda๐๐๐
Nikamtoa Camavinga nikamuingiza Micky halafu Beckham nikamuweka juu ya Rodri ๐๐๐Alikula umeme dakika ya 13 tu
Nimeanza kukaza michezo ilizid aseeAcha kufurahisha waja, unavyocheza nao hao huchezi na mimi hivyo ๐๐๐
Ila DLS wanaburudika tu aisee, hawana hizi hekaheka za kuumiza kichwa kama sisi ๐Nimeanza kukaza michezo ilizid asee
Ningekuwa zangu tier one saiv nakiwasha๐๐Ila DLS wanaburudika tu aisee, hawana hizi hekaheka za kuumiza kichwa kama sisi ๐
Ila bora nisicheze game kuliko kucheza dls ๐Ningekuwa zangu tier one saiv nakiwasha๐๐
Raha ni kumzibua mtu live ๐๐Ila bora nisicheze game kuliko kucheza dls ๐