Hata kama ni update mpK me nimeshanga kwamba ndo ustruggle namna hii kwa level yako...Sio kama nakuachia niliupdate samsung yangu kwenda latest version nimegundua ndio sababu ya kusumbukw kukaba kioo changu kinazingua napata shida sana kudefend kaka
Unamjua Negan unamsikia๐๐akuachie na alitoa hela kwa Ronaldo we๐คฃKaka huyu kaniachia sio bure.
Hajamkuta kwenye ubora wake๐๐๐sijui anavyoona Razorblade kwamba hajawai mfunga anafikiri ni utani๐๐๐๐ ๐นkaka inabidi tukupe pole umekosa kushuhudia dribbles za mwamba , ni hatari
For sure huyu masta unapata ushindi ila unaona sio kawaida maana kuna muda nkajua Network.Hata kama ni update mpK me nimeshanga kwamba ndo ustruggle namna hii kwa level yako...
Itakuwa kwel Samsung yako imekukwamish...
Form is temporary but class is permanent
Ur Top player
Nadhan simu itakuwa majanga
Maana hata division yalikuwa ni majanga
๐๐Unamjua Negan unamsikia๐๐akuachie na alitoa hela kwa Ronaldo we๐คฃ
nadhan me ni miongoni mwa watu ambao tumcheza friend match nyingi sana game zako huwa ni ngumu sana kwangu huwa nahitaji utulivu kabisa sitakiwi kufanya mistake kwenye angle yoyote ileNina sportsmanship mkuu kama unabisha muulize Razorblade kama alishawahi kunifunga๐ nakamia hadi friend match muulize Selikavu ๐
Hata kama utamfunga kawaida sio kwa Agg hiyoFor sure huyu masta unapata ushindi ila unaona sio kawaida maana kuna muda nkajua Network.
Apo atafute namna simu ikae sawaHata kama utamfunga kawaida sio kwa Agg hiyo
Nije sahizi mkuu?Ukuje uchukue mkuu๐
Twende mojaApo atafute namna simu ikae sawa
PwTwende moja
Tukutane onlineUje chap
๐น ukipata fursa ya kubonda una bonda kweli, amna kusubiri mtu dadekiFor sure huyu masta unapata ushindi ila unaona sio kawaida maana kuna muda nkajua Network.
Kesho uongo mkuu, kama upo njoo tuguse.Au kesho
Mkuu siku nikikufunga utaomba likizo humu nakwambia ๐๐๐Nina sportsmanship mkuu kama unabisha muulize Razorblade kama alishawahi kunifunga๐ nakamia hadi friend match muulize Selikavu ๐
Bado upoMkuu siku nikikufunga utaomba likizo humu nakwambia ๐๐๐