eFootball Special Thread

Manual nishawahi kujaribu . Kuna goal utafungwa utabaki unashangaa na Efficiency ya pass inapungua

Ni hayo tu
Hi ni update mpya, unajaribu kwanza ukishindwa unaachana nayo.

Maoni ya baadhi wanasema namna ya kuzuia mwanzo ilikuwa wengi wanatumia button ya match up peke yake ila hii update ya sasa inakulazimu utumie button 3(match up, dash na tackling) kwa umakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…