Good game umepiga mtu Agg ya 10 acha hizo kaka πππ
Mkuu mimi na bahati bado naitembelea mkuu.... Razorblade nae atapata bahati atamfunga tu mkuu.Michezo hiyo kandambili michezo hiyo njoo nayo tena
Kama ummefunga Negan kabla ya Razorblade utaambia nn watuπ€£π€£
Nifundishe namna ya kumfunga mkuu πMkuu mimi na bahati bado naitembelea mkuu.... Razorblade nae atapata bahati atamfunga tu mkuu.
Sema pale vyovyote alikuwa nafungaaaBeki kakuchoma bhana refa afanyaje sasa, umemchapa buti Batigoal akiwa hana mpira πππ
Mkuu account ndo hii hii hamna nyingine π€£π€£π€£ππAje na account yake sasa atufunge vizuri
hahaha account ndo hii mkuuAfanye chapπ
Pow powSelikavu tuondoke
Huenda ni bahati mkuu maana Kuna muda tulikuwa sawa kabisa kwenye kilakitu..Nifundishe namna ya kumfunga mkuu π
Hili game sasahivi halina ufundi πSema pale vyovyote alikuwa nafungaaa
Jamaa ana balaa anaongoza 6 akawasha blue alitaka aniueGood game umepiga mtu Agg ya 10 acha hizo kaka πππ
Matokeo haya akisi alivyocheza mkuu... NEGAN kacheza vizuri sana...sema bahati pia imenibebaGood game umepiga mtu Agg ya 10 acha hizo kaka πππ
Washa smart assist chap tuπNifundishe namna ya kumfunga mkuu π
sikuwasha mkuu ....nilikuwa nacheza kwa presha mno.. unaubonda sanaJamaa ana balaa anaongoza 6 akawasha blue alitaka aniueView attachment 3445719eπ
Nikabaki nacheka nikasema huyu kandambili anataka anipige 10 nikimbie jukwaa niniπ dakika ya 46 chuma 6sikuwasha mkuu ....nilikuwa nacheza kwa presha mno.. unaubonda sana
Nipe mbwinu kiongozi πHuenda ni bahati mkuu maana Kuna muda tulikuwa sawa kabisa kwenye kilakitu..
Nafikiri ukicheza mpira utamfunga... Yani miliki sana mpira pia piga basi za haraka..nahisi hizo zitasaidia.
Hahahaha sema nilijua nikicheza defensive nimekwisha nikawa Sina namna.Nikabaki nacheka nikasema huyu kandambili anataka anipige 10 nikimbie jukwaa niniπ dakika ya 46 chuma 6
Mbinu ndo hiyo mkuu....cheza mpira miliki sana mpira bas...maana anabalaa akifika golini tayariNipe mbwinu kiongozi π
Mtasema tu πWasha smart assist chap tuπ
Ahshante shana πMbinu ndo hiyo mkuu....cheza mpira miliki sana mpira bas...maana anabalaa akifika golini tayari