Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Mkuu Asante naona kama ungeongezea muda wa ligi na tarehe au tutatumia Ile iliyopita final j2 nafikiriDAY ONE.
RULES..
MECHI NI MBILI, HOME AND AWAY MNAMALIZANA ROOM 1.
DAKIKA 10, CONDITIONS EXCELLENT.
View attachment 3444668CC - Warld, Corrie de killer, Mr Devil, NEGAN Mill broh Razorblade Issakson makanga, Alexander Lukashenko, Kandambili1, Edo kissy
UKIONA MATCH-UP HAI-FUNCTION VIZURI UNARUHUSIWA KUTUMIA TACKLE 😅😅
Kandambili nihurumie😀Naona nafasi yangu imeiva tayari apo noshakaa kwenye msimamo mapema hahaha
EtiDay one ndio Leo au kesho?
Kukekucha 😂DAY ONE.
RULES..
MECHI NI MBILI, HOME AND AWAY MNAMALIZANA ROOM 1.
DAKIKA 10, CONDITIONS EXCELLENT.
View attachment 3444668CC - Warld, Corrie de killer, Mr Devil, NEGAN Mill broh Razorblade Issakson makanga, Alexander Lukashenko, Kandambili1, Edo kissy
UKIONA MATCH-UP HAI-FUNCTION VIZURI UNARUHUSIWA KUTUMIA TACKLE 😅😅
Tufanye kesho aiseeDay one ndio Leo au kesho?
Dah mkuu naulizia tu Incase...maana week ya kesho ni ya moto sana majukumu kibao hahahaha lakini tutacheza tu bingwaKandambili nihurumie😀
Za leo hizo kakaDay one ndio Leo au kesho?
😹😹 dadeki hii inaitwa usiombe kukutwa na Kandambili1Kandambili nihurumie😀
Nenda training kaka😹😹kwenye lig wahuni hawana huruma ujue kukaba usijue wana bonda tuDharau inakuja pale ambapo hata AI wanafahamu kuwa hujui kukaba, wamejua kutunyoosha 😂😂😂
Hiyo training nimeenda jana lakini hata sielewi training yenyewe, waturudishie match up yetu aisee 😂Nenda training kaka😹😹kwenye lig wahuni hawana huruma ujue kukaba usijue wana bonda tu
Sina makali hayo mkuu....hofu tu ya mkuu NEGAN .... Au yeye ndo anataka nijae kwenye mfumo 🤣🤣🤣😹😹 dadeki hii inaitwa usiombe kukutwa na Kandambili1
😹amna namna dash&pressure ukishindwa panda ndege, sema me nawalamba sana buti yan match haiishi bila cardHiyo training nimeenda jana lakini hata sielewi training yenyewe, waturudishie match up yetu aisee 😂
Kwenye hii update mwenyewe nishakula nyekundu, mtu kanipiga goli 2 halafu akapiga through yenye smart assist ndani yake mpira ukadondoka mbele ya forwad wake akaanza kunidimua 😂😹amna namna dash&pressure ukishindwa panda ndege, sema me nawalamba sana buti yan match haiishi bila card