Ni motoOya hii update ya 2026 ni ๐ฅ
Mournho๐๐๐awe wa QC defence yake itakuwa nzuri...View attachment 3440223
View attachment 3440224
Hivi ujasiri wa kuniambia niachane na hili game utautolea wapi? Bora niitunze account nije nimuachie mwanangu atambe nayo ๐๐๐
Samsung yako haipo๐๐
Acha matusi mkuu ๐๐๐Samsung yako haipo๐๐
Nilikuwa nawaza nipate simy nyingine before update lkn ngoma imekuwa ngumuAcha matusi mkuu ๐๐๐
Samsung natumia kwa mawasiliano ila kwenye game natumia Oppo tena copy na hapo sijaiona hata Oppo original ๐๐๐
Kwani simu yako imehusika hapo?Nilikuwa nawaza nipate simy nyingine before update lkn ngoma imekuwa ngumu
Iyo ni size ya storage unayo takiwa kua nayo kwa simu,ila pia linaweza fika 2gb kama zilizo pitaGb 2.7
Haipo ila storage issuesKwani simu yako imehusika hapo?
Yeah walisema atleast uwe na hiyo storageIyo ni size ya storage unayo takiwa kua nayo kwa simu,ila pia linaweza fika 2gb kama zilizo pita
Punguza mafaili sasa.Haipo ila storage issues
Nimehamisha vitu leo kesho nitarestorePunguza mafaili sasa.
Unyama.Nimehamisha vitu leo kesho nitarestore
Fanya ulishushe kaka nitakupa maelekezo yote๐๐Sijawahi kucheza hili nasikia madogo mtaani wanalisifia
Ivi Vick van de van wako humtumii eeh๐๐yupo wap beki speedi 90Unyama.
Hata sub hayupo mzee๐๐๐ vick van de Van maspeed๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3439666
Nimeujaribu huu mfumo mechi kadhaa nimeona kuna utofauti hasa kwenye kuzingatia stamina za wachezaji, tofauti na naotumia sasa wachezaji wanachoka mapema na vile sipendi kwenda kufanya subs katikati ya mechi basi imekuwa changamoto.
Selikavu ndiyo sababu maana alikuwa akimuelekeza Warld kukabiliana na formation yangu bila papara ๐๐๐
Shukran Kaka ngoja nitulie nilishushe halafu nataka nimkande Bill The Don nije kumtamgaza Jf.Fanya ulishushe kaka nitakupa maelekezo yote๐๐
Mmoja alfu tatu ๐