eFootball Special Thread

Hivi hivyo vindege wanafanyaje maana huko dvn kumekuwa hovyo, mtu unamfunga na bado dakika nyingi halafu anafanya utumbo unapewa loss 😡


Huko dvn chezeni wenyewe badga ya dvn 2 inanitosha kwa sasa 😂😂😂
 
😅Au cheza ya AI , usha wahi abandon match ya Ai ? wahuni wana bonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…