Na back 5 juu kaweka kweli huyu shetaniBro una roho mbaya defensive mabek wa kati kabisa na cointer target wawili π€£π€£π€£πβπ£
Acha nikae kimya leo πππππ 5 ni kubwa kuliko 3 si unajua ilo lakini .
Ongea bhana au unaumwa kakaπ€£π€£π€£π£Acha nikae kimya leo πππ
Mechi ya kwanza nilikuwa najihami lisitokee kama lilitokea dakika za mwishoni mechi ya 2.Mkuu naona siku mbaya kazini ....mech ya kwanza alinipiga lakini
Mkuu mimi ni noob kabisa....ukiangalia pasi zangu utagundua nabahatisha sanaNilibana hadi mbupu ili nimalize mechi πππ
Nauhakika huyu hakuwa noob, alikuwa anatuchora tu π
Niliwahi gusia hiki wakati Selikavu ana mfundisha trick , match nilio panda nae nikaona uyu ni pro kabisa kasoro kikosi πΉπ Kandambili1 katuingiza kwenye mtegoNilibana hadi mbupu ili nimalize mechi πππ
Nauhakika huyu hakuwa noob, alikuwa anatuchora tu π
Huyu siyo noob bhana πJamaa ana knowledge zote nachunguliaga account yake napita kimyaπ
Wakati me nafungwa mlikuwa mnaona ni utani eehπ€£π€£Nilibana hadi mbupu ili nimalize mechi πππ
Nauhakika huyu hakuwa noob, alikuwa anatuchora tu π
Oyaa kiumbe kinatwanga bila huruma halafu mnadema ni noob πππOngea bhana au unaumwa kakaπ€£π€£π€£π£
Lingine ukizidiwa game panda ndege (Airplane mode)Mkuu Razorblade good game sana mkuu.... game ya kwanza nimejifunza mengi sana build-up yako ipo poa sana sema Kuna muda unarusha sana ndege one two zimgekubeba kwa set-up yako pale mbele... Shukran
Katuingiza mkenge πNiliwahi gusia hiki wakati Selikavu ana mfundisha trick , match nilio panda nae nikaona uyu ni pro kabisa kasoro kikosi πΉπ Kandambili1 katuingiza kwenye mtego
Hamna noob hapo me si nasema kila siku humu wote maproπ€£π€£π€£Oyaa kiumbe kinatwanga bila huruma halafu mnadema ni noob πππ
Shukrani mkuu...bado najifunzaMechi ya kwanza nilikuwa najihami lisitokee kama lilitokea dakika za mwishoni mechi ya 2.
Good game mkuu, unaubonda π
hahaha nitajitahidi kupanda ndege kuanzia nusu fainali maana ndio tumemaliza mwendo tayariLingine ukizidiwa game panda ndege (Airplane mode)View attachment 3436309
ππ kandambili apewe negan hadi kipa wake ana dribbleWakuu Hatua ya Robo Fainal imeisha matokeo ni kama yafuatavyoView attachment 3436305
Kesho tunaendalea na Nusu Fainali
Ratiba ni hii
Settings za game zile zile kama robo fainalView attachment 3436307
Imebidi nirushe aviator mkuu, ulikuwa bora sana πMkuu Razorblade good game sana mkuu.... game ya kwanza nimejifunza mengi sana build-up yako ipo poa sana sema Kuna muda unarusha sana ndege one two zimgekubeba kwa set-up yako pale mbele... Shukran
Razorblade unarusha sana ndege sio aviator hioMkuu Razorblade good game sana mkuu.... game ya kwanza nimejifunza mengi sana build-up yako ipo poa sana sema Kuna muda unarusha sana ndege one two zimgekubeba kwa set-up yako pale mbele... Shukran
Halafu anajifanya anamaneno ya kujifunza hamna kitu hapo, anatuletea michezo huyu πππWakati me nafungwa mlikuwa mnaona ni utani eehπ€£π€£
Huyo ukiingia nae room cheza kama unacheza na Gilberto π€£π€£π€£ukisema tuu ujichanganye imo na puskas hakosi mzeeππMechi ya kwanza nilikuwa najihami lisitokee kama lilitokea dakika za mwishoni mechi ya 2.
Good game mkuu, unaubonda π