Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Mabeki wanavutika hana Rb na Lb wale wa kati ndo wanasogeaa kukaba nafasi hizo maana Lmf wake na RMF wanakua mbele kidgNtamuomba friendly
Mabeki wanavutika hana Rb na Lb wale wa kati ndo wanasogeaa kukaba nafasi hizo maana Lmf wake na RMF wanakua mbele kidgNtamuomba friendly
Itabidi unifunge kwenye friendly ya dakika 15Easy mkuu, tunaburudika 😂😂😂
Nafungwa sana mimi ila hizi story tu 😂
Hajakuzoea Razorblade mzaramo🤣🤣🤣Easy mkuu, tunaburudika 😂😂😂
Nafungwa sana mimi ila hizi story tu 😂
Hamna mkuu tuzoeane tu, kujazana upepo ndo maisha yetu humu 😂Itabidi unifunge kwenye friendly ya dakika 15
Inabidi apitie uzi kimyakimya kutokea huko nyuma 😂😂😂Hajakuzoea Razorblade mzaramo🤣🤣🤣
Hahaha mkuu tupande zetu nini tukamalizane kabisaInabidi apitie uzi kimyakimya kutokea huko nyuma 😂😂😂
Hajui nikipata ushindi nakuwa Ahmed Ally na nikifungwa nakuwa Masau Bwire 😂😂😂
Utakuja uumuke siku moja room goli kumi mzee 🤣🤣Hamna mkuu tuzoeane tu, kujazana upepo ndo maisha yetu humu 😂
Umeninyanyasa sana kichwa weweInabidi apitie uzi kimyakimya kutokea huko nyuma 😂😂😂
Hajui nikipata ushindi nakuwa Ahmed Ally na nikifungwa nakuwa Masau Bwire 😂😂😂
Hahahaha tutakuwa wote mkuu najua anaenda ninyosha soonUmeninyanyasa sana kichwa wewe
Baadae mkuu.Hahaha mkuu tupande zetu nini tukamalizane kabisa
Nikija huku kama kawaida yani kama nimeshinda mimi 😂Utakuja uumuke siku moja room goli kumi mzee 🤣🤣
Uzuri wa hii michezo ni kutesa kwa zamu, unanikanda sana sasahivi bila huruma 😂Umeninyanyasa sana kichwa wewe
Hamna shida mkuu... Mihangaiko iendeleeBaadae mkuu.
Bila kuchoka.Hamna shida mkuu... Mihangaiko iendelee
kama mandonga vile🤣🤣Nikija huku kama kawaida yani kama nimeshinda mimi 😂
Nitafungwa na mtu yoyote ila sio weweUzuri wa hii michezo ni kutesa kwa zamu, unanikanda sana sasahivi bila huruma 😂
Ukishinda kama nimeshinda na nikishinda nimeshinda tu 😂kama mandonga vile🤣🤣
Sisi ni people... 😂Nitafungwa na mtu yoyote ila sio wewe
Nikiingia na wewe ni kazi kazi kama division mzee 🤣🤣🤣
Michezo mingi humu🤣🤣Ukishinda kama nimeshinda na nikishinda nimeshinda tu 😂
Ila humu bata sana 😂
Tutaonana😃😃Sisi ni people... 😂