eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Masta ni Razorblade 🤣🤣🤣ambaye kaona upo slow me sijui kitu😃😃
Slow slow
Ni vile tu ile kawaida yetu ya kuwa tunaelekezana naona inapotea ila kama Warld akiwa na speed basi naamini atapunguza au kuacha kabisa kutumia aviator, anacheza vizuri na anajua kutumia nafasi ila tatizo ni hilo la speed.

Nimeliona kwa sababu mie mwenyewe bado nafanyia kazi kuhusu speed.
 
Huyo jamaa kwa huo mpira wake tumuangalie tu maana... 😂😂😂

Kama anabet huyu basi anarusha aviator 😂😂😂
Hizo aviator ni kwako tuu kwangu anapanga mpira chini mzee 😃 😃 😃 au kwasababu ananimuudu🤣🤣
 
Ni vile tu ile kawaida yetu ya kuwa tunaelekezana naona inapotea ila kama Warld akiwa na speed basi naamini atapunguza au kuacha kabisa kutumia aviator, anacheza vizuri na anajua kutumia nafasi ila tatizo ni hilo la speed.

Nimeliona kwa sababu mie mwenyewe bado nafanyia kazi kuhusu speed.
Hizo aviator ni kwako tuu😃😃✊ni kama mimi nikicheza na Gilberto au Negan ni kubutua tuu sifanyi makosa😃😃
 
Formation yake ili nimfunge lazima aviator ihusike maana wachezaji wake wamejaa mbele na katikati ila mtu anaetumia mfumo wa kawaida kwenye possession ni rahisi kwangu kupiga pass
 
Kitu ambacho namuelewa ni kwenye kutumia nafasi.

Mtu akinifunga kwa style ya aviator siwezi mpa sifa ila yeye nampa sifa kwenye kutumia nafasi 😂
 
Formation yake ili nimfunge lazima aviator ihusike maana wachezaji wake wamejaa mbele na katikati ila mtu anaetumia mfumo wa kawaida kwenye possession ni rahisi kwangu kupiga pass
Sema unajua mkuu mimi sina baya kabisa, nafasi unazitumia vizuri.
 
Formation yake ili nimfunge lazima aviator ihusike maana wachezaji wake wamejaa mbele na katikati ila mtu anaetumia mfumo wa kawaida kwenye possession ni rahisi kwangu kupiga pass
Yan ungejua mfumo wake una matobo mengi sana usingetumia hata aviator 😃😃😃

Wachezaji wanatoka mno panga pasi moja moja utaona
 
Back
Top Bottom