Twende online utanikutaNdio
KakaNakuja
Niliona kama moja hiviPlayoffs si mechi mbili au?
Aah powa kaka, Good game πNiliona kama moja hivi
Tutakutana league ijayo. Ngoja mm nikajifunze zaidiAah powa kaka, Good game π
Hebu nipe siri ya kuwek mikono kwenye ungaMill broh tumalize ili swala ,πΉ pitisha vidole kwenye unga usije jitetea mikono ina teleza View attachment 3435354
Uwe online kaka tuwe tunapata friendlyTutakutana league ijayo. Ngoja mm nikajifunze zaidi
Mimi hapaππMyunani ndo nan?
Ni tamu kweli bhana baada ya kutomuona NEGAN nikazama na Kandambili1Nimecheza leo mchana Co-Op na ukishinda ni tamu sana, nilipata partner tunaendana matokeo yalikiwa fedheha tumerudi kwenye group hamna anaetaka mazoea π π ile kitu tamu bana, yakitokea makosa unajua nani kakosea ukamlalamikie.
We kama ukikosa mtu ingia ile ya kwenye event pale PvP inakuwa na reward ukishinda.
Kaza vidole, huruma siyo malezi πNacheza playoff afu we umefuzu hichi kitu kinanikereketa sana roho πππ
Kandambili1 umeona fixture, hii mechi ngumu πHatua ya Playoffs imeisha wakuu tukutane robo fainali View attachment 3435433
Robo fainali hii imepangwa na system yenyewe
NEGAN vs Gilberto_
Alexander Lukashenko vs Selikavu
Warld vs Mr Devil
Kandambili1 vs Razorblade
View attachment 3435435