πππ huyu ni pro kitamboKandambili sio mgeni wa games za mpira maana nilicheza nae wakat bado ana 2800 + nili struggle kumfunga ana cheza kama mtu anae jua ila kikosi kika muangusha πΉ
Pass mnapiga 150 hamuoni Goli kwanπ€£π€£π€£Kandambili1 good game mkuu π₯π€
ulinipika vizuri mechi ya kwanza ππ₯
View attachment 3434222View attachment 3434223
Selikavu
Kandambili1 ni dark horse kwenye hii round anatoa kifinyo kimya kimyaπKandambili1 good game mkuu π₯π€
ulinipika vizuri mechi ya kwanza ππ₯
View attachment 3434222View attachment 3434223
Selikavu
π€£π€£π€£π€£ Mechi ya pili bhana nilibadilisha formation mara 3 ila bado mambo yakazidi kuwa mabaya....Kandambili1 good game mkuu π₯π€
ulinipika vizuri mechi ya kwanza ππ₯
View attachment 3434222View attachment 3434223
Selikavu
Haha nimejifunza pia mkuu π₯π€π€£π€£π€£π€£ Mechi ya pili bhana nilibadilisha formation mara 3 ila bado mambo yakazidi kuwa mabaya....
Asante sana mkuu nimejifunza vingi sana kwako... Nimeokota ya muhimu mkuu... Asante.
Mkuu mipira mirefu huyu jamaa ni noma mkuu....kila long ball anaipata yeye...Pass mnapiga 150 hamuoni Goli kwanπ€£π€£π€£
Nashukuru mkuu...bado Kuna vingi nastruggle ila najifunza taratibu.....shukrani sana kwa mambo mawili matatu juu ya kikosi.Kandambili sio mgeni wa games za mpira maana nilicheza nae wakat bado ana 2800 + nili struggle kumfunga ana cheza kama mtu anae jua ila kikosi kika muangusha πΉ
Kikubwa ni umemfunga Gilberto kabla ya Razorblade na Drogba wakeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Mechi ya pili bhana nilibadilisha formation mara 3 ila bado mambo yakazidi kuwa mabaya....
Asante sana mkuu nimejifunza vingi sana kwako... Nimeokota ya muhimu mkuu... Asante.
Ligi kaka ilichukua hii Ratiba alafu uzuri mlishakutanaππHivi Selikavu ile ratiba ya kubondana humu imeisha kisa ligi sio?
mana naona napata notification hapa ile siku ya Razorblade imefika ππView attachment 3434242
mkuu bado naotea otea tu....ila tunasogea taratibuKandambili1 ni dark horse kwenye hii round anatoa kifinyo kimya kimyaπ
hahahaha mkuu Razorblade nahisi nitaumuka nyingi ... Maelekezo ya kikosi uliyotoa yananisaidia sana...Kikubwa ni umemfunga Gilberto kabla ya Razorblade na Drogba wakeπ€£π€£π€£
Huyo ndo Long Ball Counter ππMkuu mipira mirefu huyu jamaa ni noma mkuu....kila long ball anaipata yeye...
Pasi chache hizo mkuu...mambo yalikuwa mabaya hahaha
Shukrani hahah tukutane round ijayo unimalizie kabisaHaha nimejifunza pia mkuu π₯π€
Ni balaa mkuu... Alivyoanza hivi nimestruggle sana.Huyo ndo Long Ball Counter ππ
Atakuja na hasira huyo omba msikutane tuuππhahahaha mkuu Razorblade nahisi nitaumuka nyingi ... Maelekezo ya kikosi uliyotoa yananisaidia sana...
usipange hiyo fixture mkuu hahaha pro mkutane wenyeweAtakuja na hasira huyo omba msikutane tuuππ
Mtego huu πmkuu bado naotea otea tu....ila tunasogea taratibu
Me sio pro kakaππpro ni watatu tuu Negan, Gilberto na Mill Broh ππusipange hiyo fixture mkuu hahaha pro mkutane wenyewe