ndio maana nika uliza wote wawili wasipo tokea matokeo yana kuaje .Nyie mnajuana wenyewe ila ikiwa hivi kila mtu atahusisha dharula zake asipotokea, itazalisha hali tofauti na kuleta sintofahamu kwenye ligi.
Jana alipata dharura hatukucheza😀😀
Sahihi na kwakuwa taarifa haikuwekwa wazi hii hainabudi hiyo mechi ya jana iwe win kwa aliyekuwepo au kwakuwa wote hawakutoa taarifa basi wapewe loss.ndio maana nika uliza wote wawili wasipo tokea matokeo yana kuaje .
ila hii haipo kwenye sheria zetu 00:00
🤥Sahihi na kwakuwa taarifa haikuwekwa wazi hii hainabudi hiyo mechi ya jana iwe win kwa aliyekuwepo au kwakuwa wote hawakutoa taarifa basi wapewe loss.
Sheria msumeno.
Michezo hii wanangu michezo hiyo kuwen seriousSahihi na kwakuwa taarifa haikuwekwa wazi hii hainabudi hiyo mechi ya jana iwe win kwa aliyekuwepo au kwakuwa wote hawakutoa taarifa basi wapewe loss.
Sheria msumeno.
Kaka tuwe serious sasa tuache maskihara...Sahihi na kwakuwa taarifa haikuwekwa wazi hii hainabudi hiyo mechi ya jana iwe win kwa aliyekuwepo au kwakuwa wote hawakutoa taarifa basi wapewe loss.
Sheria msumeno.
Hapa ulikuwa sahihi kwamba inapendeza taarifa ifike kwa wote ili kuondoa sintofahamuInapendeza taarifa ifahamike kwa wote mkuu hii itaondoa sintofahamu.
Me nili pitiwa usingizi nimekula siti uko chini afu tukupe point 4 apa😹😹 nafasi ya Razorblade ilkua nikae mimi kabisa nime mkosea sana Bati goalMichezo hii wanangu michezo hiyo kuwen serious
me nikaze vidole mnipe loss🤣🤣🤣nibane mbuppu dakika tisini seriously 😃😃😃
Mna utani nyie🤣🤣🤣🤣
Michezo hiyo michezo hiyo wanangu🤣🤣🤣View attachment 3432447
View attachment 3432448
Kaka Tuliwasiliana nilikuwa na taarifa yake kama Organizer nikamwambia hakuna shida tutacheza kesho mapemandio maana nika uliza wote wawili wasipo tokea matokeo yana kuaje .
ila hii haipo kwenye sheria zetu 00:00
Ulikuwa na room ya kuomba mcheze leo kama mwenzako akikubali freshMe nili pitiwa usingizi nimekula siti uko chini afu tukupe point 4 apa😹😹 nafasi ya Razorblade ilkua nikae mimi kabisa nime mkosea sana Bati goal View attachment 3432473
😹 iyo imeisha ata Argentina aliqnza na lose kule saudia ila akaibuka World champion,Tuachane na aya mkuuUlikuwa na room ya kuomba mcheze leo kama mwenzako akikubali fresh
Maana yeye ndo mwenye points
Ulishawai kusema point za mezani hazinogi ingia room uumuke😃😃
Kwamba kwa sheria wote walimwe point zero si ndio😅Sahihi na kwakuwa taarifa haikuwekwa wazi hii hainabudi hiyo mechi ya jana iwe win kwa aliyekuwepo au kwakuwa wote hawakutoa taarifa basi wapewe loss.
Sheria msumeno.
Point zero ni ngumu game inakuwa counted as draw wote tuangushe points 😃😃Kwamba kwa sheria wote walimwe point zero si ndio😅
Mechi ya pili uli park scania naona 😅Michezo hii wanangu michezo hiyo kuwen serious
me nikaze vidole mnipe loss🤣🤣🤣nibane mbuppu dakika tisini seriously 😃😃😃
Mna utani nyie🤣🤣🤣🤣
Michezo hiyo michezo hiyo wanangu🤣🤣🤣View attachment 3432447
View attachment 3432448
Atakuja kuongea mwenyewe 😃😃😃siongei kitu bila Mwanasheria wangu😃😃😃Mechi ya pili uli park scania naona 😅
Scania ilikuwa hii hapaMechi ya pili uli park scania naona 😅
Voda TigoHivini laini gani hua haisumbui kwenye mtandao ukiwa unacheza online
VodacomHivini laini gani hua haisumbui kwenye mtandao ukiwa unacheza online