eFootball Special Thread

Kupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke πŸ˜‚
View attachment 3430317

Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller πŸ˜‚
Afu umepata nini?

kama haujapata kitu, Si bora ungejaribu kesho kwa Ronaldo mana watakuwa wengi pale showtime players zaidi ya 10
 
Kupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke πŸ˜‚
View attachment 3430317

Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller πŸ˜‚
Juzi nilkua natafuta iyo card ya Ronaldinho nika pigwa coins 900 nikaona nikaushe msi cheke 😹😹
 
WAKUU, ILE LIGI YETU SASA ITAANZA KUKIMBIZA πŸš€

HIZI HAPA FIXTURE 1 & 2 KUANZE KUCHANGAMKA HUMU SASA...

ROUND 1.



RULES .
Game Tatu za mwanzo home and Away

Wa kwanza mpaka wa sita wana qualify kwenda robo fainali...

Wa saba mpaka wa 10 wanaenda Playoffs...

Kumi na moja na kumi na mbili wanakuwa wametoka

Watakaopita Playoffs watakuja kuungana na waliopita moja kwa moja...

Tutapiga robo Ijumaa Jumamosi Nusu fainali Jumapili Fainali league inakuwa imeisha..

10 Minutes, Conditions both Excellent .. No Extra time & Penalties.

DEADLINE SAA 5:59 USIKU.


CC- NEGAN // Razorblade // Edo kissy // Alexander Lukashenko // Warld // Mr Devil // Kandambili1 // Selikavu // Waterbender // Corrie de killer // Mill broh
 

Attachments

  • IMG-20250804-WA0010.jpg
    42.7 KB · Views: 11
Atakaefanikiwa kumpata CR7 tutakaa chini tuongee, tutafanya exchange na kikosi changu cha free epics niamuongezea na 5k.

Exchange itafanyika chini ya promoter Selikavu

Khalas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…