eFootball Special Thread

Usipoleta nitazidi kukubless mengine Mazuri kutokana na Initial zako πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒsawaa Mr Kumaliza Maliza (KM)
Mkuu nimefikiria sana nimetaka kuandika BabaYaga lakini hapa wataona tu initial name KM πŸ˜‚

Ila wakija leta matokeo yatumike majina ta huku.
 
Man marking hiyo ni tactics kama tactics nyingine πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Ila swala la smart assist Phase one nimeona Edo kissy alikula buyu kule chiniπŸ˜ƒπŸ˜ƒ alikubali kishingo upande tuu ila tulijua kumkatili
Mkuu man marking jau haipaswi kuwepo.

Kuhusu smart assist iruhusiwe mwanzoni ila kuanzia robo isiwepo.
 
Mkuu bado nilipo siwezi zipata kwasasa .....ngoja tupambane na vidole tu...

Ratiba tupewe mapema mkuu na tujue mechi zinaanza muda gani kama ni saa 2-5usiku tujue
Ratiba leo itatokaπŸ˜€

Mechi mida hii ya saa nne mpka saa sita kamili ndo huwa zinachezwa...


Kwahiyo ikifika mida hii njoo umngojee opponent wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…