eFootball Special Thread

mkuu nafikiri kuongeza ushindani na kuondoa visingizio smart assist iwepo..

Maana kulikuwa na malalamiko kwa hii phase 1 Kushutumiana kuitumia smart assist na mwingine anakataa...

Kama vile tulivyoruhusu matumizi ya pad nafikiri smart assist iruhusiwe pia kwa pande zote 2.

Kuna wengine tutasema hatutumii lakini kabla ya mechi tutawasha
 
Sheria haipaswi kubadilishwa, No smart assist No man marking.
 
Smart assist iwepo
 
Braza nangojea league ianze πŸ˜ƒπŸ˜ƒtukamkabe Puskas πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Binafsi ili tusiwanyime watu uhuru acheze tuu na smart assist kama ni mtumiaji sisi wengine tutajifunza kuwazuia
..

Bado napokea maoni kwwnye hili la Smart assist
 
Sheria haipaswi kubadilishwa, No smart assist No man marking.
Man marking hiyo ni tactics kama tactics nyingine πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ila swala la smart assist Phase one nimeona Edo kissy alikula buyu kule chiniπŸ˜ƒπŸ˜ƒ alikubali kishingo upande tuu ila tulijua kumkatili
 
Mkuu nitajaribu kubadilisha username kisha nitaleta hapa hilo ulikoweka sijapenda πŸ˜‚
Usipoleta nitazidi kukubless mengine Mazuri kutokana na Initial zako πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒsawaa Mr Kumaliza Maliza (KM)
 
Braza nangojea league ianze πŸ˜ƒπŸ˜ƒtukamkabe Puskas πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Binafsi ili tusiwanyime watu uhuru acheze tuu na smart assist kama ni mtumiaji sisi wengine tutajifunza kuwazuia
..

Bado napokea maoni kwwnye hili la Smart assist
hakabiki huyo mkuu hahahaha......usishangae kuona sura mpya kwenye kikosi changu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…