eFootball Special Thread


JF Champions League Season two

Season one inaisha leo

Kesho jumatatu tutaanza season two

tutaenda na Format kama ya Uefa

Game Tatu za mwanzo home and Away

Wa kwanza mpaka wa sita wana qualify kwenda robo fainali...

Wa saba mpaka wa 10 wanaenda Playoffs...

Kumi na moja na kumi na mbili wanakuwa wametoka

Watakaopita Playoffs watakuja kuungana na waliopita moja kwa moja...

Tutapiga robo Ijumaa Jumamosi Nusu fainali Jumapili Fainali league inakuwa imeisha...

Tunangojea Efootball 2026 tukishalipata tunaanza tena


Sheria za Ligi..

Mechi za awali ni dakika 10 condition excellent for both, No Extra Time and Penalties

Mtoano utaratibu utabadilika

No hacking na Smart assist ili tuwe sawaa wote

Japo hili la Smart Assist tutalizungumza maana watu walishazoea kucheza nayo kuwabadilisha inaleta shida kdg tunakosa ushindani...


Usipotokea bila sababu ushindi atapewa opponent


Naomben maoni wadau kuhusu ligi yetu

NEGAN Edo kissy Gilberto_ Razorblade Mill broh Mr Devil Waterbender Alexander Lukashenko Corrie de killer Kandambili1 Warld
 
Fifa mobile ndio habari ya mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…