eFootball Special Thread

Hamia slot ya pili, baada ya kupata hiyo LMF ya kijani ambayo haijakolea mkuu.
 


Nimekerekwa sana huyu amemaliza booster zangu halafu kumbe anahitaji kocha wa booster 2 ndo afike rate ya 100 😑

Selikavu tafuta training guide za kufika 100 kwa kocha yeyote πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…