Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Oya tufanyeni tuoe tu hizi simu za usiku jau, raha ya game yote imekata mechi ya kwanza tu πππKujieni mtu wenu huku ππ
Niwekenext week mkuu...
Kuna ligi inaendelea humu mkuu...
Kuanzia saa nne nne kila siku unakuwa na match moja ya kucheza
Utaweza kuwepo next week tukuweke...
Niweke ( Mjukuu11next week mkuu...
Kuna ligi inaendelea humu mkuu...
Kuanzia saa nne nne kila siku unakuwa na match moja ya kucheza
Utaweza kuwepo next week tukuweke...
Hakuna nilichofeel aisee yani naingia room tu mechi ya kwanza simu nayo inaita πRazorblade, Good game. How did you feel now? ππ View attachment 3428926Adams lazima akushuhulikie si ulisema juzi kakuotea.View attachment 3428928View attachment 3428927Narudi ππ€π
Pasi zote kwa kipa nilimind ndo mana nikawasha full red na mimiπHakuna nilichofeel aisee yani naingia room tu mechi ya kwanza simu nayo inaita π
Unalazimisha kumwambia lala upumzike usiku sasa lakini wapi πππ
Mechi ya pili nikaona bora nirelax tu nijipigie vipasi vyangu golini π
Mechi ya kwanza kuna muda nilienda settings, nilikuwa nabembeleza mtu alale pale mkuu πππPasi zote kwa kipa nilimind ndo mana nikawasha full red na mimiπ
Sawa sawa mkuuβNiweke
Niweke ( Mjukuu11
Umalaya tu ππ.. mi sikuizi nikiingia game nazima hiyo laini ya mawasiliano sitaki kelele. Mtu unaongoza mechi ya muhimu goli 3 kwenda mbele afu unakatishwa tu ππMechi ya kwanza kuna muda nilienda settings, nilikuwa nabembeleza mtu alale pale mkuu πππ
We twende fainali kesho, ligi mpya j3.Nashauri tuanze upya ligi mechi nyingi round hii hazikuchezwa
Tatizo ni simu 2 kaka kwahiyo nikiwa kwenye game ni rahisi mtu kujua maana umakini kwenye maongezi hupungua πUmalaya tu ππ.. mi sikuizi nikiingia game nazima hiyo laini ya mawasiliano sitaki kelele. Mtu unaongoza mechi ya muhimu goli 3 kwenda mbele afu unakatishwa tu ππView attachment 3428970
Dadeki mkuu si nika pitiwa usingiziNashauri tuanze upya ligi mechi nyingi round hii hazikuchezwa
Sijui nilikuwa na uchovu wa nini jana maana baada ya kumalizana na Gilberto nikapitiwa usingizi hapo hapo, nimeshituka alfajiri hii hata taa sikuzima πDadeki mkuu si nika pitiwa usingizi
Mwache hiyo slot one tumia slot 2 sasa mpk apate LMFWakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?
Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162
NEGAN Gilberto_ Mill broh
Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA π
For your information ana phenomenal pass huyo jamaaWakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?
Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162
NEGAN Gilberto_ Mill broh
Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA π
Matajiri mna simu mbili mbiliπTatizo ni simu 2 kaka kwahiyo nikiwa kwenye game ni rahisi mtu kujua maana umakini kwenye maongezi hupungua π
Coin zako na hizo position training tutazidiscuss baadaeπππWakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?
Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162
NEGAN Gilberto_ Mill broh
Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA π
Wamenipa huyu LeoπWakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?
Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162
NEGAN Gilberto_ Mill broh
Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA π