eFootball Special Thread

Ukipita kama best loser wanabaki watatu playoff itachezwa aje
Kwa table ilivyo play off inatakiwa iwe 1 tu hapo kwa hao waliofungana halafu Edo anatoka moja kwa moja

Yaani unachezeshaje play off ambayo kuna mtu hana point kabisa ๐Ÿ˜‚
 
Mkuu hapo umezingua, nilitakiwa nipite kama best loser.

Hapo wa mwisho anatakiwa atoke moja kwa moja halafu wa 4 na 5 ndo wacheze play off, kunipanga nicheze play off hapo itakuwa siyo sawa.
Kaka league ina watu wachache itakayoanza jumatatu ndo itakuwa fair๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mkuu mimi sijitetei hapa ila kchezesha play off katika ya Mr Devil mwenye point 3 na Edo mwenye 0 siyo sawa, kuchezesha play off kati yangu mwenye point 6 na Mill mwenye point 3 siyo sawa.

Hapo Edo anatoka moja kwa moja halafu naenda kama best loser kisha napaswa kusubiri mshindi kati ya Mill na Mr Devil hii ndo itakuwa sawa.

Selikavu anayake tu siyo kwamba haelewi ๐Ÿ˜‚
 
Kwa table ilivyo play off inatakiwa iwe 1 tu hapo kwa hao waliofungana halafu Edo anatoka moja kwa moja

Yaani unachezeshaje play off ambayo kuna mtu hana point kabisa ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒLakin si nilitoa mwongozo mapema

Kwamba hatua inayofuata itakuwa hivi kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ