Leo utashuka utulie chini kidogo ππMkuu amini kwamba baridi linapiga siyo poa, niletee masweta fam π
Hapana hiyo haikubaliki, mechi zinachezwa kwa ratiba πKama Mill Broh asipotokea Nitacheza mimiππnitaweka kikosi changu kwa mtu nicheze mechi zote tatu leo leoπππππ
πππHakuna nenoHapana hiyo haikubaliki, mechi zinachezwa kwa ratiba π
Ikifika mpaka saa 12 jioni Mill hajatokea itabidi upewe win ya kiporo cha jana.Mm nipo shida opponent wangu mkuu
Au cheza na KandambiliMm nipo shida opponent wangu mkuu
Ndo nalitaka hilo πKijana subiri upigiwe pira haram pira matokeo π
Kama huyo yupo basi nafasi ya Mill apewe yeye, Mill ataingia ya J3.Au cheza na Kandambili
AkujeAu cheza na Kandambili
Ndo nimewaza na mimi hiloAu cheza na Kandambili
Upo moto kakaAkuje
Sasa mgeni wa nini wakati wenyeji wapo? Tulia kwanza wenyeji watimue vumbi πMnapenda point za mezaniπππ
Namleta mtuπππmgen ngoja nimwambie afungue Idπ€£π€£π€£
Gilberto_ unajua ni nani namleta Stay tunedπ€£π€£π€£
Wenyeji si mwazingua mwataka pwonti za mezani π π πSasa mgeni wa nini wakati wenyeji wapo, tulia kwanza wenyeji watimue vumbi π
Mkuu umepata mpenzi kutokea tanga, hizi mwa... mbona ghafla sana πWenyeji si mwazingua mwataka pwonti za mezani π π π