Razorblade juu ya msimamo baridi kaliπView attachment 3423871
Hii mechi ilikuwa inaisha sare ila Drogba dakika za jiooooni kafanya yake π
Mr Devil kumbe ndo umekuwa vizuri kiasi hichi, hongera π
Drogba kanipa ushindi dakika za nyongeza πDrogba tenaπ
Ukisikia nyuma geuka πRazorblade juu ya msimamo baridi kaliπ
Sipumui aseeeππRazorblade juu ya msimamo baridi kaliπ
Hongera mzeeDrogba kanipa ushindi dakika za nyongeza π
Naomba Kandambili1 aingie kwenye lig nitoke uko chini πΉπΉWakuu hongerani kwa ufunguzi wa League yetu shukran ziwaeende wote mlioweza kucheza leo
Edo kissy Kissy na Mill broh tunaomba kesho mcheze
Matokeo ya leo ni kama ifuatavyoView attachment 3423896
Msimamo wa league mpaka sasaView attachment 3423898
Ratiba ya kesho View attachment 3423900
Tuendelee kukaza vidole Huruma sio Maleziπππ
Razorblade NEGAN Gilberto_ Mr Devil
Huyu Gilberto_ nitamuwekea Amrabat ili nitafute hata sare πWakuu hongerani kwa ufunguzi wa League yetu shukran ziwaeende wote mlioweza kucheza leo
Edo kissy Kissy na Mill broh tunaomba kesho mcheze
Matokeo ya leo ni kama ifuatavyoView attachment 3423896
Msimamo wa league mpaka sasaView attachment 3423898
Ratiba ya kesho View attachment 3423900
Tuendelee kukaza vidole Huruma sio Maleziπππ
Razorblade NEGAN Gilberto_ Mr Devil
Jumatatu Mkuu πππNaomba Kandambili1 aingie kwenye lig nitoke uko chini πΉπΉ
Drogba ametupia kamba hiyo mpaka nikanyanyuka kwanza kwa furaha πSiongei sana maana Razorblade kashindaππkapindua meza alikuwa wa mwisho huyuπ€£
Ahsante sanaa.Hongera mzee
Huu ndo utamu wa mechiππdakika za jioniDrogba ametupia kamba hiyo mpaka nikanyanyuka kwanza kwa furaha π
Ukiwa na hasira za draw bado π€£π€£π€£Twende saivi ππ
πΉkwa hasira nika washa full red nnirud8she goalDrogba ametupia kamba hiyo mpaka nikanyanyuka kwanza kwa furaha π
Kwamba siku nyingine imeanza tayari πTwende saivi ππ
Bora umekimbiaππKwamba siku nyingine imeanza tayari π
Napumzika π
ππUkiwa na hasira za draw bado π€£π€£π€£