Balaa gani kaka, beki zako 3 lakini hazipitiki.. bora ningeweka mawinga tu ๐๐Point zishadondoka huko๐ gilberto una balaa๐View attachment 3423854
Afu nilifikiria hivo hovo ๐๐Kuogopana๐
Kumeanza kuchangamka ๐๐HATA SIELEWI TULIFUATA NINI UWANJANI ๐๐View attachment 3423853
Acha tu ๐Kumeanza kuchangamka ๐๐
Nadhani nitakuwa naongoza msimamo, kialfabeti ๐๐
Tuanataka matokeo aisee๐ Selikavu watu wameingia mitini๐View attachment 3423861
Kwani na hao wengine wanaogopana ๐๐ mpaka saivii
Utambe sio๐คฃ๐คฃNadhani nitakuwa naongoza msimamo, kialfabeti ๐๐
Razorblade na Mr Devil wapo RoomView attachment 3423861
Kwani na hao wengine wanaogopana ๐๐ mpaka saivii
Duh, Wamenifanyia hujuma hao ๐Utambe sio๐คฃ๐คฃView attachment 3423863
Huwa wanafanya hivyo sijui kwannDuh, Wamenifanyia hujuma hao ๐
Matokeo ana kuja nayo drogba wa RazorbladeYanakuja ya Razorblade na Mr Devil๐
Mill Bro hajatokea ila hatumpi point kwanza Edo kissy maana hana taarifa hajaingia tena online tangu mchana..
So tunampa fair mpka kesho
Drogba tena๐Matokeo ana kuja nayo drogba wa Razorblade
Vyovyote tu muhimu vumbi kiwake ๐Round za mtoano zitakuwa hivi๐๐Mjue mapema
Play offs
3 vs 5 (Cap 1)
4 vs 6 (Cap 2)
Nusu itakuwa hivi
1 vs winner of Cap 2
2 vs winner of Cap 1
Mnaonaje wakuu ikikaa hivi
Imekuaje tena๐Matokeo ana kuja nayo drogba wa Razorblade