eFootball Special Thread

Kile Kipind nilikuwa nakaba pasi mpk nachoka๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€


Nikaanza ujinga wangu wa kutafuta ushindi wa mapema nibaki na kazi moja tuu ya kukaba๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wewe ukiongoza sijui beki unazipa ugali ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ wewe kwenye kukaba nakuaminia, kama tukiingia Co-op nitakua upande wako utasaidia kukaba ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ