Picha lilianzia hapa mechi ya kwanza, comeback ya dakika za jiooni..kama mnavyoona MOTM alikuwa super destroyer Adams 😂vichwa, Humu tu hii mechi ya 2 ndo ilikuwa ya kutoana damu, nipe nikupe 😂 ila mshindi yule yule.. (nakunywa maji)baada ya kujihakikishia ushindi wa best of 3 mapema kwenye mechi za mwanzo, nikaona nisiwaangushe mashabiki zangu mkaona kuwa nilikuwa napata ushindi wa bahati bahati, nikaamua kumtulizia mali kijana alikuwa amewasha attacking bar lakini aliizima akawasha defensive bar kupunguza mashambulizi na kasi ya mpira 😂🤞 na hapo kawasha defensive bar hana goli anajitafuta..kama kawaida kwenye vyote siwezi kukosa goli la kona kwa mtu ambae ni mgeni kucheza na mimi, humu tu 😂🤞
NADHANI MASHABIKI ZANGU MMEFURAHI SASA 😂🙌