eFootball Special Thread

Kuna huyo mimi phase iliyopita nilifika mpaka 1949 nilifungwa kama game 6 mfululizo nikarudi 1800, konami hizo rank zina watu wao bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
Hahaha jana nimeshenyentwa game mfululizo, Game ya mwisho ndio ilikuwa ya kunirudisha division 2 nilipigwa comeback nikaquit game ndio sijafungua mpaka leo na sina nguvu ya kufunguaπŸ˜…
 
Script ya division. 1 ni nyokoπŸ˜€
HaifaiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Alafu wana kaujinga ka kukaza usifike level fulan mfano me kipind sijafika division 3 division 4 nilikuwa natoka jashoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ wakatoka hapo wakahamia Div 2 nimekuja kufika kwa tabu sana baada ya happ naona wameweka kambi division one🀣🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…