eFootball Special Thread

Edo kissy nimepokea simu kutoka kwa promoter wa mapambano humu JF Mr. Selikavu , nasikia unataka leo pambano liwe live Azam Sports 2 HD saa 4 kamili usiku...

Napenda kuutaarifu umma nitakuwepo na nitahakikisha mashabiki zangu wanafurahi 📌

Nenda training kwanzia muda huu umepewa muda mwingi sana wa kujiandaa mkuu, mimi ndo nimeshtukizwa ila nitaingia uwanjani 😂

NEGAN Mill broh , Razorblade na wengine wengi humu, mjitokeze 😂😎

#KIWAKE. 😎
 
Dadeq halali Mimi alikimbia watu wanatishia😂🙌
Anyways siendi kutrain nitamchosha Adriano na beki wetu mfupi🤣
 
Kiwake🤣🤣🤣
 
Wakiuu kufika division 1 AI kumefanya nipoteze purpose mzuka na game. Sasa hivi sina cha kufanya. Purpose mpya itakua kuifungua defence set up ya @selikavu😀.(joking)

Napiga friendly tu sasa hivi
Sadly nadhan nitakuwa offline kwa muda maana tambo langu limenizingua leo mchana (Storage issues)

Sikupanga kuileta hii news ila nimeona kuna Ulazima

Kama mmeangalia Friends list leo nimetoka...

account yangu nimempa mdogo wangu yeye alipoteza Id yake ya Zaman

Nikilud nitalud na Selikavu ila nadhan sitochukua muda mrefu


Nitakuwepo na Role yangu ya promoter kwa sasa 🔥


Pole zangu za dhati nampelekea Razorblade najua huwezi sikitika hata kdg fresh tuu mwanangu 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…