Kwa kuanzia usicheze na beki destroyers wawili. Chagua mmoja kati ya Cannavaro na Tony adams. Hapo nyuma chezesha beki combo ya Build up+ Destroyer au Build up + build upUshauli, nipangeje kikosi na nitumie formation gani maana kila siku vipigo tu kila kona View attachment 3420310View attachment 3420311View attachment 3420312
Nimemvuruga na random boosters mpaka nimevurugika πNi booster tuu Nasikia ni Fantastia kaka
Booster yake ni FantastiaNimemvuruga na random boosters mpaka nimevurugika π
Halafu Batigoal amuweke upande wa kushoto.πππ
Huyu Martinez inabid ucheze na strikers wengi mbele maana wachezaji wanakaa sana Nyuma tofauti na Quick Counter wanafika mbele chap
Badilisha formation cheza na mastriker wa tatu mweke Nakata kama Second striker then hapo kiungo DMF mweke Makelele CMF mweke Gerrard na Pedri
Instructions wape defensive mafull backs wako Trend na Camavinga alafu Makelele mpe Deepline
Najua ndo aliyokuwa nayo mwanzo ila nikataka nimpe striker's instinct maana training nilizopewa ni za hiyo booster.Booster yake ni Fantastia
Hiyo presha sina hata ukienda πSoon badge ya division 1
Razorblade jiandaeπππ«΅
View attachment 3420507
View attachment 3420509
Hii imekaa vizuri ila combo ya Destroyer+Build up ndo inafanya kazi vizuri akiweka wote build up bado ni tatizo pia.Kwa kuanzia usicheze na beki destroyers wawili. Chagua mmoja kati ya Cannavaro na Tony adams. Hapo nyuma chezesha beki combo ya Build up+ Destroyer au Build up + build up
Batigoal auze tuuπππ«΅
Huyo ni Fantastia kakaNajua ndo aliyokuwa nayo mwanzo ila nikataka nimpe striker's instinct maana training nilizopewa ni za hiyo booster.
Basi kama huna presha naacha kucheza mpka upate ππ«΅Hiyo presha sina hata ukienda π
Kama kawaida yako kuchoma utambi πBatigoal auze tuuπππ«΅
Unyama...Huyo ni Fantastia kaka
Laini yangu niliyokuwa natumia kuchezea game ilikuwa na bando la kutosha wamepita nalo πBasi kama huna presha naacha kucheza mpka upate ππ«΅
πππAaah wapππKama kawaida yako kuchoma utambi π
Tangu imeletwa card ya Batigoal imeonekana kuwa card bora sana π
Pole sana kakaLaini yangu niliyokuwa natumia kuchezea game ilikuwa na bando la kutosha wamepita nalo π
Dah! Hata we mwenyewe unajicheka ππππAaah wapππ
UNamjua Owen weweπππ
Shukran sanaPole sana kaka
π€£π€£π€£π€£π€£Me walinipa Konami wanaujja mchezo wanguDah! Hata we mwenyewe unajicheka π