eFootball Special Thread

Wakuu nitoe ushauri tu. Juzi niliona mnafundishana trick ya ku shinda match kwa kuzima data. Hiyo ni cheating na ikatokea wapinzani wako waki report halafu KONAMI wakafatilia ni straight ban. Tucheze fair tu wakuu.
Kwanza ni uongo tu huo, Mi nilishajaribu ikagoma, nilikuwa nimechapwa 2.0..
 
Kuna hii nyingine, kama ukicheza game j5 kwenye division PvP alafu ukawa umefungwa na hautaki upunguzwe points, before final whistle ukitoka kwenye game na usiporudi tena mpaka alhamisi baada ya update ukirudi kwenye game utakuta points zako zipo pale pale.. na ile mechi ipo sema haupunguzwi points.
 
Watu mna mbinu hii sikuwahi sikiaπŸ˜€
 
Yan nisicheze game siku nzima kisa points huyu hawezi kuwa mimiπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£
 
Promoter mbona hichi kitu ndo nakiona saivi, kuna nini kwani πŸ˜ƒ
Kaka nilikuwa sipo online kama siku ngapi hiviπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ndo maana umechelewa kuona ila kuna match leo ya maligendi....πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ushauli, nipangeje kikosi na nitumie formation gani maana kila siku vipigo tu kila kona View attachment 3420310View attachment 3420311View attachment 3420312
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Huyu Martinez inabid ucheze na strikers wengi mbele maana wachezaji wanakaa sana Nyuma tofauti na Quick Counter wanafika mbele chap

Badilisha formation cheza na mastriker wa tatu mweke Nakata kama Second striker then hapo kiungo DMF mweke Makelele CMF mweke Gerrard na Pedri

Instructions wape defensive mafull backs wako Trend na Camavinga alafu Makelele mpe Deepline
 
Ngoja nijalibu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…