eFootball Special Thread

Me si huwa najipigia tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Ukutane na wale shuti mkakati๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Na ndo kitu ambacho huwa sipendi nikienda room na wewe, kuna muda unakuwa kama noob ๐Ÿ˜‚

Leo nimeamua kusema tu, kweli me napenda tuwe tunacheza mpira mkakati tunafungana lakini tumeburudika ๐Ÿ˜‚

Kuna zile pasi zako fupifupi huwa nafurahi sana, zinanipa ladha ya game ๐Ÿ˜‚

Ila kuna watu wanajali magoli tu ndo furaha yao ๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ