Kumbe ulisema mojaππTupige 1 hiyo nilale.
Mkuu refa kazingua πKumbe ulisema mojaππ
π€£π€£π€£π€£π€£Niliona baada ya kukufunga kijana ukawasha attacking wakati game imeishaπ€£π€£Mkuu refa kazingua π
Sijawasha chochote mimi.π€£π€£π€£π€£π€£Niliona baada ya kukufunga kijana ukawasha attacking wakati game imeishaπ€£π€£
Umeweka Auto basiππSijawasha chochote mimi.
Halafu nilikiwa nimerelax nasema mechi imeisha, refa kayoko kweli πUmeweka Auto basiππ
Me nilikuwa nasema Ref don't Blow maana ungenifunga hii week ingekuwa ya moto
πππππKanibeba aseeHalafu nilikiwa nimerelax nasema mechi imeisha, refa kayoko kweli π
Saves 6 π, ila hizi saves zimetokana na ukuta kuwa solid kidogo maana baada ya kuona wanawin beki zangu mipira ukaanza kupiga nje ya 18.πππππKanibeba asee
Sema khan wako kazi ninayo
Me kupiga nje ya 18 siwezi achaπππSaves 6 π, ila hizi saves zimetokana na ukuta kuwa solid kidogo maana baada ya kuona wanawin beki zangu mipira ukaanza kupiga nje ya 18.
Ilikuwa ni ratiba ya kutumia nafasi, kwenye mashuti matatu niliyopiga on target mawili goli(nahisi)
Training yangu imeisha vizuri ila lawama kwa refa πMe kupiga nje ya 18 siwezi achaπππ
Ungeshinda ningeweka wap sura yangu na nilovyokuita room MimiTraining yangu imeisha vizuri ila lawama kwa refa π
Nipo training mkuu ila refa kayoko, kasubiri urudishe goli ndo amalize mpira na wakati aliongeza dakika 3 yeye katembea mpaka 5.Ungeshinda ningeweka wap sura yangu na nilovyokuita room Mimi
πππDakika za jioniiiiiiiiii Refa anatupa goli la kusawazishaNipo training mkuu ila refa kayoko, kasubiri urudishe goli ndo amalize mpira na wakati aliongeza dakika 3 yeye katembea mpaka 5.
Mwehu yule ππππDakika za jioniiiiiiiiii Refa anatupa goli la kusawazisha
SupersubMniache na Danielson wangu, winga teleza ππ
Mwamba kabisa πMniache na Danielson wangu, winga teleza ππ
Mpaka saivi hata na AI hajawahi kucheza ππ daahSupersub
Mpuuzi yule kila mtu anamponda, nani amchezeshe sasaMwamba kabisa π
Niuzie basiππMpaka saivi hata na AI hajawahi kucheza ππ daah