Mkuu usituangushe mapema mashabikiMimi nachezaga kuenjoy tu sipo serious kiasi hicho nitafungwa mpaka nishangae ila kukufunga ndio lazima nikufunge maana akili yangu inawaza tu kushambulia kujizuia mimi hapana
Hata leo saa 4 tukiwashe. Na wote tunacheza formation moja😃
Hawa maligendi wastaarabu mno😃😃😃Mkuu usituangushe mapema mashabiki
Unawaza iufunga kama Mimi 😂
Xabi ni kocha fulani hivi akiamua kupasuka siku hiyo utaoga mengi sana imewahi kunikuta online mechi moja hivi mpaka nika forfeitEeh hivyo hivyo mkuu😃😃😃
Nothing serious ni utani tuu kuenjoy game😃😃
Mimi hapo DM ninaweka mmoja tu tena sio DM kiuhalisia maana DM halisi yupo amekula mkeka ila hapo namuweka Scholes hapo kunifunga mimi nikugusa tuHata leo saa 4 tukiwashe. Na wote tunacheza formation moja😃View attachment 3413425
Ewaaa Mi mi mkuu tupe ratiba yakoHata leo saa 4 tukiwashe. Na wote tunacheza formation moja😃View attachment 3413425
Me nilitelekeza Account kabisa nikahamia nyingine kisa Alonso sema... Dawaa ni kufunga mengi na kukaba mno😃Xabi ni kocha fulani hivi akiamua kupasuka siku hiyo utaoga mengi sana imewahi kunikuta online mechi moja hivi mpaka nika forfeit
Aaah wapi Jumapili nitajaribuMkuu usituangushe mapema mashabiki
Unawaza iufunga kama Mimi 😂
Nyie muende tuu😃😃mkacheze mkumbushane Black balls 🤣🤣Mimi hapo DM ninaweka mmoja tu tena sio DM kiuhalisia maana DM halisi yupo amekula mkeka ila hapo namuweka Scholes hapo kunifunga mimi nikugusa tu
Xabi kwenye kushambulia hana shida ila kufunga duka kazi unayoMe nilitelekeza Account kabisa nikahamia nyingine kisa Alonso sema... Dawaa ni kufunga mengi na kukaba mno😃
Kwahiyo Jumapili hiyo mzee😃 uwakika mjipange vizuriAaah wapi Jumapili nitajaribu
Nilikuwa nacheza na DMF wawili na wote nawapa Defensive 🤣🤣mmoja anapewa DeeplineXabi kwenye kushambulia hana shida ila kufunga duka kazi unayo
Mwendo wa kupeleka moto dakika 90😃Mimi hapo DM ninaweka mmoja tu tena sio DM kiuhalisia maana DM halisi yupo amekula mkeka ila hapo namuweka Scholes hapo kunifunga mimi nikugusa tu
Umenikumbusha kitamboNyie muende tuu😃😃mkacheze mkumbushane Black balls 🤣🤣