Me nitamtumia kwa counter zangu😃😃cross siwezi piga ila so far mipira ya juu yote anawin yeyeNunez amepika kazi sana😃 sijapata replacement yake. Van Basten ukitmtumia utanipa tips. Sijawahi cheza na striker fox in the box
Huyo nae namtamani 😂Account 2
View attachment 3413364
Upo na mimi🤣🤣🤣Ila hiyo siku unaweza shangaa nikamuacha Bale nikamchukua Cannavaro 😂
Aaah inategemeana na mpira wake😃Nilichotaka kumaanisha ni kwamba hiyo ni back 3 inapendeza build up akiwa kati na destroyers wakae pembeni yake, hii inampa wepesi zaidi kuchukua mipira kwa kipa na kuanzisha mashambulizi.
Hongera Mkuu😃Account 2
View attachment 3413364
Unajua mbele nimejitosheleza kiasi fulani ila nyuma bado nahitaji Destroyer mwenye rate nzuri. Hiyo siku ikifika nitafumba macho halafu nachagua 😂Upo na mimi🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Twende RoomUkiniwekea huyo Basten na Drogba wangu wa 102 bado Drogba wangu ni bora kuliko yeye.
Kabisa.Aaah inategemeana na mpira wake😃
Kwan mnataka tufunge wap nyie🤣🤣🤣View attachment 3413365
Account 1
😃😃😃Huyo nae namtamani 😂
Mimi sijaongea ili tuende room, alinishawishi baada ya kuona ni fox in the box 😂🤣🤣🤣Twende Room
Me mwenyewe sina beki mzee😃Unajua mbele nimejitosheleza kiasi fulani ila nyuma bado nahitaji Destroyer mwenye rate nzuri. Hiyo siku ikifika nitafumba macho halafu nachagua 😂
Huyu Bale naanza kumtoa taratibu blitz curler mbwembwe tu 😂
Drogba ni physical tuu😃😃😃alafu kwa mchezo wangu hanifai mzito mno...Mimi sijaongea ili tuende room, alinishawishi baada ya kuona ni fox in the box 😂
Nimeenda eFHUB kulinganisha nimeona bado Drogba yuko vizuri Offensive na Physical.
Game nzima utakuwa unapiga blitz tuu mwenzako hana mabeki kwan🤣🤣🤣Huyu Bale naanza kumtoa taratibu blitz curler mbwembwe tu 😂
Hapa ni maamuzi magumu, strikers nimejaza kibao wengine wapo reserve 😂Me mwenyewe sina beki mzee😃
Wakimleta me binafsi simuachiHapa ni maamuzi magumu, strikers nimejaza kibao wengine wapo reserve 😂
HERE WE GO!
Cannavaro ananafasi kubwa 😂
Siyo physical tu mkuu we nenda eFHUB kafanye comparison utaona hata Offensively Basten kazidiwa.Drogba ni physical tuu😃😃😃alafu kwa mchezo wangu hanifai mzito mno...
Nadhan hata Batistuta angenishinda kumtumia
Taratibu namaliza tofauti zangu na Bale, nafasi yake kwenye kikosi inakuwa ndogo 😂Wakimleta me binafsi simuachi
Me ananifaaa 🤣🤣🤣si unasemaga me mtu wa mambio😃😃😃Siyo physical tu mkuu we nenda eFHUB kafanye comparison utaona hata Offensively Basten kazidiwa.