Huyo Messi kuna matukio muhimu sana huwa ananiokoa anafunga mahala pasipo tarajiwaIla kila mtu na mchezo wakeππme kwangu hawezi mikiki yanguππ
Itakuwa free au selection contract ?Wanadai et pack inalud tena AlhamicView attachment 3413334
Ikirudi sijui niondoke na nani nishauri mkuuWanadai et pack inalud tena AlhamicView attachment 3413334
Dah me sijui ila mara ya mwisho kumweka huyu jamaa nilikuwa namtaka yule wa 1800ππHuyo Messi kuna matukio muhimu sana huwa ananiokoa anafunga mahala pasipo tarajiwa
Van Basten anakufaa kwa mchezo wako mkuu kwa sababu ana aerial na heading upate wa kumpokea Bullets header wakoπππIkirudi sijui niondoke na nani nishauri mkuu
Siri gan tenaππDadeq wadau mna siri
Itakuwa ya selection mkuu tuombe ije hivyoItakuwa free au selection contract ?
Nipate kwanza free nyingine halafu ndio ifuate selectionItakuwa ya selection mkuu tuombe ije hivyo
Nunez amepika kazi sanaπ sijapata replacement yake. Van Basten ukitmtumia utanipa tips. Sijawahi cheza na striker fox in the boxVan Basten anakufaa kwa mchezo wako mkuu kwa sababu ana aerial na heading upate wa kumpokea Bullets header wakoπππ
Nilichotaka kumaanisha ni kwamba hiyo ni back 3 inapendeza build up akiwa kati na destroyers wakae pembeni yake, hii inampa wepesi zaidi kuchukua mipira kwa kipa na kuanzisha mashambulizi.Anatumia mguu wa kushoto...
Kama unamtumia kulinda tu peke yake sawa ila kama kwa kuanzisha mashambulizi pia angekaa kati halafu destroyers wangekaa pembeni yake.Ndio anacheza vizuri zaidi
Ila hiyo siku unaweza shangaa nikamuacha Bale nikamchukua Cannavaro πWanadai et pack inalud tena AlhamicView attachment 3413334
Labda konami wavute bhangiNipate kwanza free nyingine halafu ndio ifuate selection
Ukiniwekea huyo Basten na Drogba wangu wa 102 bado Drogba wangu ni bora kuliko yeye.Van Basten anakufaa kwa mchezo wako mkuu kwa sababu ana aerial na heading upate wa kumpokea Bullets header wakoπππ
Skanka πLabda konami wavute bhangi