Mzee alafu ni jamaa yangu nikimkatia anajua kabisa nacheza gemu anamind kinomaa ila uliza kama kuna cha maana alichoongea🤣🤣🤣zaidi ya kuniuliza upo wap😃😃Wawekee ratiba status ili wajue kuna muda unakuwa busy na kazi(eFootball) 😂
Matokeo yapo saved kwenye match history, tuleteeni matokeo 😂nimeshinda 2 kwa 1 game ya kwanza(nlisahau kuscreenshot)
game ya pili amenifunga moja ila mtandao wake umezingua gatijafika hata half time
Kwa Adriano 😃😃😃kwa adriano au pedri😂
Hapo laana itatembea hata hayo magoroma hatutapata 😂Tuwe tunaspine kama Edo kissy kanisani Jumapili muda wa maombi🤣🤣
Hapo utasikia “Oya familiya nimekutana na pisi kali kinoma” wakati huo wewe umegawa win 😂Mzee alafu ni jamaa yangu nikimkatia anajua kabisa nacheza gemu anamind kinomaa ila uliza kama kuna cha maana alichoongea🤣🤣🤣zaidi ya kuniuliza upo wap😃😃
Jana nipo nacheza event ya PvP nimekutana na mwamba ni mbele mbele yao, hataki uchafu nyuma 😂Kwa Adriano 😃😃😃
Kule kwa Pedri yule kocha wa LB sina akili ya kumpita leo 🤣🤣🤣
Nataka nikusanye coin nichukue pack ya 1800 then nitachukua na itakayofata then natunza coin mpka zifike elfu 15🤣🤣🤣nichukue pack yote🤣🤣🤣Jichanganye 😂
Hamna mabattle siku hizi😃😃Siku hizi matokeo mnachoma moto au maana hayaji kabisa humu.
Tupe mbinu basi😂🙌hampati
Kuna utofauti kati ya LB na LBCmbona hata hii ni LBC
Owaaa wananikera mzee inabid nipokee tuu nitafanyaje ndo washakji zangu🤣🤣Hapo utasikia “Oya familiya nimekutana na pisi kali kinoma” wakati huo wewe umegawa win 😂
Kheeh🤣🤣me nikikutana na mtu mbutiaji ananifunga😃😃Jana nipo nacheza event ya PvP nimekutana na mwamba ni mbele mbele yao, hataki uchafu nyuma 😂
Nilikuwa nacheka tu maana mwenzie nilikuwa training ya LBC, ila uzuri hakukimbia nikampiga goli 3 kwa 0 😂
Hii ni ndoto? 😂Nataka nikusanye coin nichukue pack ya 1800 then nitachukua na itakayofata then natunza coin mpka zifike elfu 15🤣🤣🤣nichukue pack yote🤣🤣🤣
NEGAN sijui anajifunza mbinu mpya maana kajichimbia kimyaa 😂Hamna mabattle siku hizi😃😃
Mie Do not disturb huwa inahusika aisee 😂Owaaa wananikera mzee inabid nipokee tuu nitafanyaje ndo washakji zangu🤣🤣
Eeh nipo naota kaka🤣🤣🤣Hii ni ndoto? 😂