eFootball Special Thread

Razorblade kijana mtafuta madestoyer😃😃😃nikutajie mwingine alipo pale kwa akina Kimmich wa Nominating Contract... joao Palinha ni namba 6 alafu Destroyer 😃😃sema anafika 98 ila ni mrefu kwel kwel

Pia ile card ya kimmich pale ni nzuri kaka usiiache😃😃ijaribu siku moja na Anchorman wako Rodri utakuja kuniambia😃😃
 
Hanifai nina Dayot 😂

Kimmich niliyenae anatosha na yupo reserve huko 😂
 
Sitaki kujaza kikosi kwa vitu visivyoeleweka 😂

Sema konami wajanja sana sasa kumuweka Akanji kule kwenye match pass ndo maana yake nini? 😂
Mchukue😃😃then utafanya Fusion ya Kimmich wa capten kubasi😃😃
 
Ndo inasaidia nini kwanza?
Badala ya kumfanyia mchezaji level training unahamisha zile progression point za training pamoja na skills kama ulimtrain kwa mchezaji mpya alafu huyo wa Zaman anakuwa released


Kufanya unachagua mchezaji unayetaka apokeee(Mpya) then unabonyeza fusion watakuletea list ya wachezaji unachagua yule anayetaka kutoka
 
Nishaijua, hii si ndo ile aliyetuelekeza NEGAN kipindi kile?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…