Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,160
- 10,402
Sasa kwani kwenye team unataka uweke viungo wakabaji wangapi mkuu, wawili hawatoshi?Kwa nature yao sio wale wa kazi kazi kukaba๐๐ni viungo mnyumbuliko
Hongera, Pole ๐Mission accomplished ๐
Siku 4 za mateso ya AI zimafika mwishj sasa nifanye vitu vya maana. Kuanzia leo sichezi tena na AI๐View attachment 3406302
Wamekupa loss 20๐๐๐kwel ni matesoMission accomplished ๐
Siku 4 za mateso ya AI zimafika mwishj sasa nifanye vitu vya maana. Kuanzia leo sichezi tena na AI๐View attachment 3406302
Wanatosha wawili unataka kuongeza kiungo mnyumbuliko mwingine ๐Sasa kwani kwenye team unataka uweke viungo wakabaji wangapi mkuu, wawili hawatoshi?
Ni hatari mkuu๐Hongera, Pole ๐
Nili stuck kwenye 1750 ๐Wamekupa loss 20๐๐๐kwel ni mateso
Me moto wa div 3 ulinikimbiza sijalud tenaNili stuck kwenye 1750 ๐
Ukifika rating 1650 AI wanafanya vitu ambavyo hata Physics yenyewe inashangaa๐. Nimebadili formation zaidi ya mara 7 ila pumzi ilikua ya moto. Back 5 ndio imenivusha.Me moto wa div 3 ulinikimbiza sijalud tena
Huwa nasema hawa Ai huwa ni wafanyakazi wa konami wanabadilishana kucheza na sisi๐คฃ๐คฃ๐คฃUkifika rating 1650 AI wanafanya vitu ambavyo hata Physics yenyewe inashangaa๐. Nimebadili formation zaidi ya mara 7 ila pumzi ilikua ya moto. Back 5 ndio imenivusha.
Mimi sijagusa huko kabisa ๐Ni hatari mkuu๐
Matchpass yako ushatumia kuna Akanji pale anafika 100๐๐Nilikuwa napiga hesabu za kuletwa kwa CB(Destroyer) lakini wameleta tena Build up ๐ก
View attachment 3408641
Card ya Akanji kwangu haipo mkuu, huenda yupo kwenye nchi nyingine.Matchpass yako ushatumia kuna Akanji pale anafika 100๐๐
We ipo kote kwenye matchpass pale sema ndo mia nane๐๐๐kama ulishawai nunua mchezaji kwenye match pass ksma bado atakuwa mia nne..Card ya Akanji kwangu haipo mkuu, huenda yupo kwenye nchi nyingine.
Nilikuwa namtaka sana tu.
Mimi kwa sasa sina Mtu wa kucheza na Owen kwahiyo nitapita naeSidhani kama huu uhuni Konami wataleta, hakuna atakayemuacha Bale(Blitz Curler) ๐
View attachment 3408825
Anhaa! Nilikuwa sijakuelewa bado, nimekuelewa sasa nitapita nae usiku ๐We ipo kote kwenye matchpass pale sema ndo mia nane๐๐๐kama ulishawai nunua mchezaji kwenye match pass ksma bado atakuwa mia nne..
Utaniambia nikupe setting za speed anafika 88
Nenda kwenye mission pale then chagua match pass nadhan ni ya pili
Hakuna mwenye ujasiri wa kumuacha Bale hapo ๐Mimi kwa sasa sina Mtu wa kucheza na Owen kwahiyo nitapita nae
Mchukue na Maigan kabisa ๐๐๐coin zi wanakuludishia kama 180 hivi๐๐Anhaa! Nilikuwa sijakuelewa bado, nimekuelewa sasa nitapita nae usiku ๐
Napita nae na coins zitaendelea kubaki 1000+ ๐
Me hata aje na skils ya Saving simuachi๐๐๐Hakuna mwenye ujasiri wa kumuacha Bale hapo ๐