eFootball Special Thread

Wajuu nisaidieni hapa yupi aanze na yupi awe mbadala kati ya Camavinga na Amrabat, mapenzi yangu yanaangukia kwa Camavinga ila nahitaji ushauri tactically.

Amrabat stats(B2B)

Camavinga stats(B2B)

Benchi la ufundi njoeni mtoe mawazo yenu kisha kocha mkuu nitayapitia na kufanya uamuzi πŸ˜‚

NB: Naona Camavinga ana stats nzuri kwa ujumla tofauti na Amrabat ambaye yupo vizuri zaidi kwenye defence, nasubiri maoni yenu.
 
Amrabat mkuu anakaba mnoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ defensive awareness 98
 
Amrabat mkuu anakaba mnoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ defensive awareness 98
Toa mawazo kimbinu bhana siyo kwakuwa anakusumbua tukikutana πŸ˜‚

Umeangalia defensive peke yake wakati mie nataka uchambuzi wa jumla πŸ˜‚
 
Toa mawazo kimbinu bhana siyo kwakuwa anakusumbua tukikutana πŸ˜‚

Umeangalia defensive peke yake wakati mie nataka uchambuzi wa jumla πŸ˜‚
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒWakabaji kwako ni wangapiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…