eFootball Special Thread

Kikubwa nimeshinda tena hii LBC naona kama ina kitu
Hiyo unyama sana we huoni watu wanalialia kwanini hawakumchukua Gesperin maana kupata kocha mwenye hizo playstyle zote(QC na LBC) kwa wakati mmoja ni uongo.

Ukizingatia ndiyo playstyle zenye hatari na pendwa kwenye game kwa sasa.
 
Panga siku tukacheze LBC iwe LBC day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…