eFootball Special Thread

Chuo ujinga mwingi anayepata sup kusapua anajiona mwamba kuliko aliyefaulu UE😀
Hiyo nakumbuka kwenye mtihani wa commercial arithmetic wenzangu wameingia na Scientific Calculator mie nikaamini natoboa kwa kichwa 😂

Nikafanya maswali kadhaa yaliyohitaji calculator nikaishia njiani, nikacheka kimyakimya halafu nikajisemea ”Nitarudi kufanya sup” 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…